Yaliyomo ya maswali

Hapa unaweza kupata majibu ya maswali ambayo yanaulizwa mara kwa mara juu ya Ukristo.

Je kuna maana gani ya maisha?
Je chanzo ya maisha yametokana kwa bahati mbaya?
Je Mungu yupo?
Je Mungu ni mwenye enzi?
Wapi naweza kumpata Mungu?

Je nina thamani yoyote?
Je Mungu ananipenda?
Mungu anasikia ombi langu?

Kwa nini kuna shida duniani?
Kama Mungu ameumba kila kitu, maovu yanatoka wapi?
Dhambi ni nini?
Dhambi zinewezaje kusamehewa?
Je kutenda dhambi kuna maana yeyote kama mtu amesamahewa?
Je ninaweza kuendelea kupokea msamaha kutoka Mungu?
Je nisipo samehe?
Shetani anaishi?

Biblia ni nini?
Kwa nini nisome Biblia?
Kwa nini niamini yale Biblia hufundisha?
Je Biblia ni ukweli?
Nitawezaje kuanza kusoma Biblia?
Jinsi ya kutafsiri Biblia?

Yesu ni nani?
Ni kweli Yesu yupo?
Kwanini Yesu alikufa juu ya msalaba?
Ni kweli Yesu alifufuka kutoka kwa wafu?
Twawezaji kumjua Yesu?
Nawezaje kuwa Mkristo? Nawezaje kutoa maisha yangu kwa Yesu?

Nitaipataje Mbingu? Je nawezaje kuokoka?
Imani inaanza lini?
Imani inafananaje katika maisha ya kila siku? Na vipi nitamfuata Yesu?
Nitajuaje kama nimeokolewa?
Ukristo unatofautianaje na dini zingine?
Malaika wapo?

Ubatizo ni Nini?
Ubatizo wangu una maana?
Mtu anaweza kuokolewa pasipo ubatizo?
Nini kitatokea kama sikubatizwa?
Kuna nini kama nikibatizwa mara ya pili?

Ushiriki Mtakatifu ni Nini?
Kuna kizuri kipi ndani ya Ushirika Mtakatifu?
Nani anastahili kwenda kupokea Ushirika Mtakatifu?

Roho Mtakatifu ni nani?
Mwanadamu aweza kuwa na Roho Mtakatifu?
Biblia inafundisha juu ya dhambi isiyosamehewa, dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu - Hii ina maana gani?

Nini kinatokea kwetu wakati tutakufa?
Wapi naweza pata msaada wakati naogopa kifo?
Je nitawaona jamaa yangu?
Kuna Jehanamu?
Mbinguni ni wapi?