Kifo, Mbinguni

Mwandishi: 
Pasi Palmu
Mtafsiri: 
Oscar Ulotu

Mwanadamu aliumbwa kwa kuishi milele, kuvunja mapenzi ya Mungu kifo kikaja, na hakika kinatuhumiza sisi sote. Hata hivyo kifo hikitashinda mapenzi ya Mungu mpaka mwisho.

Katika kifo, Muda wetu wa rehema unafika mwisho. Katika ulimwengu huu ulioumbwa tunaweza kuishi kwa zawadi ya Mungu. Ijapokuwa hatumjali Mungu kabisa. Nini kinatokea, hata hivyo, wakati tunapoteza pesa zetu, uzuri, nafasi zetu katika kazi, afya na maisha? Nini kinatokea tunapokutana na Mungu aliye uchi katika dhambi zetu? Yeye aliyetupa uzima na ambaye anatuuliza tumeutumiaje huo uzima? Hatutakuwa uchi katika kipindi hicho. Biblia inatufundisha kwamba katika imani tutavikwa mavazi meupe, nayo ni haki ya Kristo tuliopewa katika ubatizo nayo ni imani, ni yako.

Nini kuhusu baada ya kufa?
Waliokufa katika Roho watalala kabla ya ufufuo wa siku ya mwisho? Biblia inatupa wazo hili kwamba katika kifo mtu anakwenda katika ukweli mwingine, si muhimu kujua urefu wa kipindi hicho/ hiki, lakini haijulikani kipindi hiki cha kusubiri ni cha furaha au cha huzuni,wakati dhamira inapokuwa nzuri kila mmoja anajua nani anasubiri, ni vizuri kusubiri.

“Lakini ndugu , hatutaki msifue habari zao waliolala mauti , msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini maana ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye."
(1 Thesalonika 4:13-14, SUV)

Mwandishi: 
Pasi Palmu
Mtafsiri: 
Oscar Ulotu

Kutoka Yesu mwenyewe. Ni kwmba, kwa asili tunaogopa kifo. Kifo na washirika wake- magonjwa, ajali majanga yote ni ya muovu, na si yaMungu muumbaji. Kifo kwa hakika si cha asili na hutakiwi kujaribu kuwa rafiki nacho. Paulo alisema “kifo ni adui wa mwisho. lakini kazi ya Yesu ni ushaidi mzito / imara kwamba kifo na washirika wake hawatashinda.”

Yesu ameshinda kifo, na wewe kama mtoto wake utatokea kupitia kifo kama mshindi. Sikia kwa makini wewe mwenyewe. Hakikisha unajikabidhi kwa Yesu. Atakikabili kifo chako moja kwa moja. Hata kama unaogopa kama vile watoto wadogo wanavyofanya wakipata tatizo, wanakimbilia kwa baba yao, anatuliza hali hata kama usiku ni mrefu na wa kiza (giza). Hisia mara nyingi zinashindwa, lakini Imani ambayo inaamini katika Neno la Mungu, haitashindwa.

“Yesu akamwambia, mimi ndimi huo ufufuo, na uzima aniaminiye mimi,ajapokufa atakuwa anaishi, naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa milele, je! Unayesaidika hayo?"
(John 11:25-26, SUV)

Mungu bado kifo kinaniogofya. Tafadhali uwe pamoja nami.
Mwandishi: 
Pasi Palmu
Mtafsiri: 
Oscar Ulotu

Kifo si mwisho wa yote.
“Kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa ,cheupe na yeye aketiye juu yake , ambaye Nchi na Mbingu zikakimbia uso wake, na mahali pao hapakuonekana, Nikawaona wafu, wakubwa kwa wadogo, wamesimama mbele ya hicho kiti cha enzi. Na vitabu vikafunguliwa , na kitabu kingine kikafunguliwa ambacho ni cha Uzima, na hao wafu wakahukumiwa katika mambo hayo yaliyoandikwa katika vile vitabu sawasawa na matendo yao (Rev. 20:11-12, SUV)

Itakuwa furaha kuu kuwaona jamaa zetu waliotangulia huko Mbinguni, Nadhani ni ushauri mzuri kuamini kuhusu wengine na kuwa na shaka kuhusu wewe mwenyewe.
Waache jamaa zako waliokufa katika wangalizi wa Mungu na uombe kwa ajili yao mara moja au mbili. Wewe mwenyewe lazima uamini katika ushindi wa kifo. Unaweza kujifariji mwenyewe kwamba kwa Mungu hakuna hata mmoja amekufa. Kwake kila mtu ni hai (mzima) kwa sababu yeye hajafungwa katika sheria za ulimwengu huu.

“Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho, na aliye hai, nilikuwa nimekufa tazama ni hai hata milele na ni nazo hizofunguo za kifo na kuzima”
(Ufunuo 1:17-18,SUV)

Mungu ninawaweka wapendwa wangu waliokufa katika mikono yako mema
Mwandishi: 
Pasi Palmu
Mtafsiri: 
Oscar Ulotu

Jibu ni ndio. Agano la kale linasema waziwazi kuhusu mahali baada ya kufa, lakini kati ya kipindi cha Agano jipya na Yesu,Ufunuo umetoa mwanga hata katika zama hizi za giza . Yesu alisema jehanamu haikuumbwa kwa ajili ya mwanadamu ila ni kwa ajili ya shetani na malaika zake. Unaelezewa kama Jehanamu ya moto wa milele, ziwa la moto Giza, utengano, kilio na kusaga meno. Wakati hatuwezi kusema ni vipi tunafikiri kuhusu mtazamo wa kuzimu, tunaweza kutazama katika tafsiri hii, Kuzimu na utengano wa milele na Mungu na uzuri wote wa Mungu. Mkristo hatakiwi kuwa na mvuto wa kuzima, zaidi sana uepuke kuwa huko. Tunatakiwa kukumbuka kuwa Yesu hakuja katika ulimwengu huu kutuogopesh a kuhusu kuzimu bali kutukomboa kwa ajili ya kwenda Mbinguni. Pia wewe!

“Kisha atawaambia na wale waliopo mkono wake wa kushoto, ondokeni kwangu, mliolaaniwa mwende katika moto wa milele aliowekewa tayari Ibilishi na malaika zake.”
(Mathayo 25:41, SUV)

Mwandishi: 
Pasi Palmu
Mtafsiri: 
Oscar Ulotu

Biblia haijatupa mahali mbinguni ilipo, kijiografia Mbinguni ni pale Mungu anapokaa katika ukamilifu wake. Biblia inasema;
“Ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti amekaa katika Nuru isiyoweza kukaribiwa, wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona, Heshima na uwezo una yeye hata milele Amina” (1 Timotheo 6:16,SUV)
 Hivyo basi hatuwezi kumfikia Mungu au Mbingu kupitia nafsi yeyote katika mpango wa kuchunguza au kupitia akili zetu.

Yeye mwenyewe ametoka katika sehemu aliyojificha na kujifunua kwetu, kila tunachohitaji kujua kuhusu mbinguni, Biblia kwa mfano katika Ufunuo kuna maelezo mengi kuhusupicha za mbinguni. Hizi picha haziwezi kulinganishwa kutoka katika picha moja nzuri. Ni vipi au kwa jinsi gani chumba kama mji umejaa barabara za dhahabu unavyoonekana? Au ni vipi kuabudiwa pasipo mwisho kunavyoonekana? Vipi kuhusu bustani, ambazo uzuri wake haujawahi kuonekana au kulinganishwa. Hii ni nini kwamba Mungu mwenyewe atayafuta machozi yetu. Mwalimu moja wa zamani wa kanisa alisema hivi kuhusu mbinguni” furaha ya Mungu inaonekana; kwa mimi hiyo ni tayari sababu tosha kutaka kuona yote hayo!”

“Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake, naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.”
(Ufunuo 21:3, SUV)

Mungu anataka kwenda mbinguni nichukue mimi huko